Lugha Nyingine
Kipindi cha Qiufeng, katikati ya majira ya mpukutiko kimewadia na Mawimbi makubwa ya Mto Qiantangjiang (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2021
Tarehe 23,Septemba, mawimbi ya Mto Qiantangjiang yaligonga boma, yakawa mawimbi makubwa. |
Mawimbi ya Mto Qiantangjiang yanajulikana sana kwa muda mrefu nchini China. Siku za kabla na baada ya tarehe 18 ya Mwezi wa 8 kwa kalenda ya kilimo ya China ni wakati wa kufaa zaidi kwa kutazama mawimbi makubwa ya Mto Qiantangjiang yanayoshangaza na kufurahisha watu.
Mpiga picha Jiang Han wa Shirika la Habari la China Xinhua.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma