Lugha Nyingine
Malisho ya kale kwenye Uwanda wa Juu wa Slovenia
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2021
Hivi sasa uwanda wa juu wa Velika Planina wa kaskazini mwa Slovenia ni eneo kubwa kabisa la makazi ya wafugaji wa Ulaya. Mapema ya Zama za Kati, wafugaji walikuwa wamekaa huko. Kila ifikapo majira ya siku za joto, mandhari nzuri ya kipekee ya malisho ya uwanda wa juu na mila na desturi za wafugaji wa huko zinavutia watalii wengi waende kutembelea.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma