Lugha Nyingine
Walimu na wanafunzi wa Marekani watembelea Mji wa Shijiazhuang, Hebei, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 31, 2024
Mwanafunzi wa chuo kikuu kutoka Marekani akijaribu kuvaa mavazi ya Opera ya Beijing mjini Shijiazhuang, Desemba 30, 2024. (Picha na Chen Qibao/Xinhua) |
Kutokana na mwaliko wa Shule ya Lugha za Kigeni ya Shijiazhuang, kundi la walimu na wanafunzi kutoka Marekani wamekuwa wakitembelea Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China kuanzia Desemba 25 hadi leo Desemba 31.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma