Lugha Nyingine
Idadi kubwa ya korongo wenye nyundu?nyekundu waruka hadi Yancheng, China?kwa ajili ya?msimu wa baridi (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 16, 2024
Korongo wenye nyundu nyekundu wakiruka katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya Ardhi Oevu ya Wanyamapori Adimu, mji wa Yancheng, mkoani Jiangsu, Desemba 15. |
Kwa sasa, idadi kubwa ya korongo wenye nyundu nyekundu wamewasili katika Hifadhi ya Taifa ya Mazingira ya Asili ya ya Ardhi Oevu ya Wanyamapori Adimu katika mji wa Yancheng, mkoani Jiangsu, China kwa ajili ya msimu wa bardi. Hifadhi hiyo iko kwenye pwani ya Bahari ya Manjano, na ni kituo muhimu kwenye njia ya “Asia Mashariki-Australasia”, mojawapo ya njia tisa za ndege wanaohamahama duniani. Kila mwaka, korongo zaidi ya 600 wenye nyundu nyekundu huja hapa kwa ajili ya msimu wa bardi.
(Picha na Tang Dehong/ Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma