Lugha Nyingine
Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2024
Wafanyakazi wakivuna maua ya krisanthemum kwenye kituo cha kupanda maua cha Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 19, 2024. (Xinhua/Tao Liang) |
Hivi karibuni msimu wa kuvuna maua ya krisanthemum umewadia katika Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Liupanshui umehimiza kuendeleza shughuli husika za maua ya krisanthemum ili kuongeza mapato ya watu.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma