久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mwezi Mpevu mwaka huu waonekana duniani kote (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mwezi Mpevu mwaka huu waonekana duniani kote
Mwezi mpevu ukionekana angani Cairo, Egypt Oktoba 17, 2024. (Xinhua/Ahmed Gomaa)

Jana Alhamisi, Tarehe 17 mwezi ulifikia hali yake ya kuwa mpevu majira ya saa 1:26 jioni, na kupita perigi (sehemu ya obiti karibu kabisa na dunia) majira ya saa 2:51 asubuhi. Wataalamu wa sayansi ya anga ya juu wanasema kuwa, huu ni wakati ambao mwezi mpevu umekuwa karibu zaidi na perigi mwaka huu, hivyo mwezi huu mpevu umekuwa mkubwa zaidi wa mwaka, au "Mwezi Mpevu Mkubwa" (Super Moon).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>