Lugha Nyingine
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Picha hii iliyopigwa Oktoba 17, 2024 ikionyesha aina mpya ya gari linalotumia nishati mpya la SU7 lililoundwa na kampuni ya teknolojia ya China ya Xiaomi likioneshwa kwenye Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani Mwaka 2024 yanayofanyika Beijing, China. (Xinhua/Chen Zhonghao) |
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 umeanza Beijing, mji mkuu wa China jana Alhamisi, ambapo wakati wa mkutano huo mfululizo wa shughuli mbalimbali zitafanywa ili kuhimiza maendeleo ya magari ya teknolojia ya kisasa yaendelee sambamba na sekta husika.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma