Lugha Nyingine
Mashindano ya 17 ya "Daraja la Lugha ya Kichina" yaanza mjini Tianjin, kaskazini mwa China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
TIANJIN - Mashindano ya 17 ya "Daraja la Lugha ya Kichina" kwa wanafunzi wa shule za sekondari za nchi za kigeni yameanza jana Alhamisi mjini Tianjin, Kaskazini mwa China.
"Daraja la Lugha ya Kichina " ni mashindano ya kimataifa ya kila mwaka ambapo wanafunzi wasio Wachina wanaonyesha uwezo wao kamili wa kutumia lugha ya Kichina na uelewa wao wa utamaduni wa China.
Mwaka huu, jumla ya washindani 113 kutoka nchi 96 wanashiriki kwenye mashindano hayo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma