久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Rais Xi ahimiza Mkoa wa Fujian kuonesha umuhimu wa mtangulizi wa Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024
Rais Xi ahimiza Mkoa wa Fujian kuonesha umuhimu wa mtangulizi wa Ujenzi wa Mambo ya Kisasa wa China
Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akifanya ziara katika Kijiji cha Aojiao cha Wilaya ya Dongshan ya Mji wa Zhangzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Oktoba 15 , 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

XIAMEN - Rais Xi Jinping ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) kwenye ziara yake ya ukaguzi katika mkoa wa pwani wa Fujian, kusini mashariki mwa China Jumanne na Jumatano, amehimiza mkoa huo kufanya kazi ya mtangulizi wa ujenzi wa mambo ya kisasa wa China kwa kupitia kushikilia malengo yake ya maendeleo.

Mkoa wa Fujian, ni mtangulizi wa kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ya China, ni mkoa wenye nguvu za kiuchumi na umekuwa na uchumi imara wa watu binafsi. Mkoa huo ukitazamana na Taiwan katika Mlango-Bahari wa Taiwan, unajijenga kuwa eneo la vielelezo vya maendeleo jumuishi ya pande mbili za Mlango-Bahari huo.

Mkoa wa Fujian unapaswa kuendelea kupiga hatua zaidi katika kuharakisha maendeleo ya ujenzi wa mfumo wa mambo ya kisasa ya kiuchumi, Rais Xi amesema.

Siku ya Jumanne mchana, Rais Xi alikagua Wilaya ya Dongshan ya Mji wa Zhangzhou, na kufahamishwa kuhusu uuzaji wa vyakula vikavu vya mazao baharini na mavuno ya shughuli za uvuvi katika kijiji cha wilaya hiyo.

Rais Xi, ambaye alifanya ziara katika kijiji hicho miaka 23 iliyopita, amesema amefurahi kuona mabadiliko makubwa yaliyotokea katika kijiji hicho, akiongeza kuwa maeneo ya vijijini ya China bila shaka yatakuwa na mustakabala mzuri zaidi kwenye safari mpya katika zama mpya.

Kisha alitembelea Jumba la makumbusho ya Gu Wenchang, ambako alifahamishwa kuhusu mambo ya kutia moyo ya Gu, ambaye ni mkuu wa zamani wa kamati ya Chama ya Dongshan. Siku ya Jumatano asubuhi, Rais Xi alifanya ziara kwenye Eneo la Majaribio ya Biashara Huria la Xiamen la China (Fujian). Jumatano alasiri, Rais Xi alisikiliza ripoti ya kazi ya kamati ya Chama na serikali ya mkoa wa Fujian, na akatoa maagizo kwa kazi ya baadaye ya mkoa huo.

Rais Xi amehimiza mkoa huo kupata mafanikio mapya ya kuzidisha mafungamano kati ya uvumbuzi wa kisayansi na kiteknolojia na uvumbuzi wa kiviwanda, kuharakisha uanzishwaji wa mifumo ya kuunga mkono uvumbuzi wa pande zote, kuhimiza kwa uratibu mageuzi jumuishi ya mifumo inayohusu elimu, sayansi na teknolojia, na vipaji, na kuendeleza nguvu mpya za uzalishaji zenye sifa bora zinazolingana na hali halisi ya mkoa huo.

Akisisitiza kufanya kazi ya mtangulizi katika kuendeleza kwa kina mageuzi kwa pande zote na kushikilia ufunguaji mlango wa kiwango cha juu, ametaka mkoa Fujian kuinua ngazi ya maendeleo ya eneo lake la biashara huria, kushiriki zaidi katika ujenzi wa pamoja wa kiwango cha juu wa Ukanda Mmoja, Njia Moja, na kujijenga kuwa eneo la kiini cha Njia ya Hariri ya Baharini ya Karne ya 21.

Akisisitiza umuhimu wa kuhimiza mawasiliano ya kitamaduni ya pande mbili za Mlango-Bahari wa Taiwan, ametoa wito wa kuongeza uelewa wa ndugu wa Taiwan kuhusu Taifa la China na utamaduni wa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>