Lugha Nyingine
Kijiji cha jadi cha Nalu cha Mkoa wa Guangxi kimekuwa kivutio kwa watalii na mahali panapopendwa zaidi kwa safari ya kimasomo (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 15, 2024
Kikiwa na nyumba za makazi za aina ya kipekee ya kale zilizojengwa wakati wa Enzi za Ming na Qing (1368-1911) za China ya kale pamoja na mali kubwa ya urithi wa kitamaduni, Kijiji cha Nalu katika Wilaya ya Xiangzhou, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China pia kinajivunia aina nyingi za vyakula maalum vilivyoandaliwa kwa mbinu za kijadi. Kikiwa kilijumuishwa katika kundi la kwanza la vijiji vya jadi chini ya ulinzi wa serikali ya China Mwaka 2012, Kijiji cha Nalu hivi sasa kimekuwa kijiji chenye vivutio vizuri kwa watalii na mahali panapopendwa zaidi kwa kufanya safari ya kimasomo.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma