<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Watu takriban 23 wauawa katika shambulizi kutoka angani dhidi ya soko kuu Kusini mwa Khartoum, Sudan

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 14, 2024
    Watu takriban 23 wauawa katika shambulizi kutoka angani dhidi ya soko kuu Kusini mwa Khartoum, Sudan
    Picha hii iliyopigwa kwa simu ya mkononi Oktoba 12, 2024 ikionyesha moshi ukifuka kwenda juu kutoka jengo lililobomolewa kufuatia shambulizi kutoka angani dhidi ya soko kuu la Al-Souk Al-Markazy (soko kuu) huko Khartoum, mji mkuu wa Sudan. (Kundi la Watu wa Kujitolea la Chumba cha Dharura cha Kusini mwa Khartoum/kupitia Xinhua)

    KHARTOUM - Raia takriban 23 wameuawa na wengine zaidi ya 40 kujeruhiwa katika shambulizi kutoka angani dhidi ya soko kuu Kusini mwa Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum siku ya Jumamosi, watu wa kujitolea na mashirika yasiyo ya kiserikali ya huko yameripoti.

    "Tukio hilo limetokea wakati ndege za kivita ziliposhambulia soko kuu la Al-Souk Al-Markazy mjini Khartoum alasiri ya siku ya Jumamosi iliyopita, kliniki ya dharura ya watu wa kujitolea ya Khartoum Kusini imesema katika taarifa yake jana Jumapili.

    Majeruhi "wamehamishiwa katika hospitali za Bashair, Elrazi, na Alraqi kwa matibabu. Wengine wako katika hali mbaya," imeongeza taarifa hiyo.

    Hadi sasa hakuna kundi lililodai kuhusika na shambulizi hilo.

    Vikosi vya Wanajeshi wa Sudan (SAF) vilianzisha mashambulizi makubwa Septemba 26 dhidi ya wanamgambo wa Vikosi vya Mwitikio wa Haraka (RSF) katika mji mkuu, Khartoum, ikiwa ni juhudi zake kubwa katika kipindi cha miezi kadhaa za kurejesha udhibiti wa mji huo, habari kutoka jeshi na mashuhuda wameeleza.

    Tangu Aprili 15, 2023, Sudan imekuwa katika mgogoro mkali kati ya SAF na RSF, ukisababisha vifo vya watu takriban 20,000, maelfu ya majeruhi, na mamilioni ya watu kuyakimbia makazi yao, makadirio ya hivi karibuni ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu yanaonesha.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>