Lugha Nyingine
Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024) wafanyika Beijing (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 12, 2024
BEIJING - Wataalam takriban 800 kutoka China na duniani kote wamekutana siku ya Ijumaa mjini Beijing kwenye Mkutano wa Uvumbuzi wa Teknolojia za Kilimo Duniani Mwaka 2024 (WAFI 2024), wakitetea kubadilisha muundo ili kutoa kaboni chache katika mifumo ya nafaka za kilimo kupitia uvumbuzi wa kisayansi ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.
Mkutano huo, wenye kaulimbiu isemayo "Mabadiliko ya Tabianchi na Mageuzi katika Mifumo ya Nafaka za Kilimo " unasisitiza mahitaji ya haraka ya uvumbuzi wa teknolojia katika sekta ya kilimo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma