Lugha Nyingine
Mwonekano wa reli iliyojengwa na China mjini Hanoi, Vietnam (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024
Abiria wakipanda treni ya reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong mjini Hanoi, Vietnam, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Yao Qilin) |
Reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong imejengwa na Kundi la Sita la Kampuni za Reli za China ukiwa ni mradi muhimu wa China wa ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na mpango wa Vietnam wa "Shoroba Mbili na Mzunguko Mmoja wa Kiuchumi".?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma