久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kampuni za China zapanga kuongeza uwekezaji katika sekta ya madini nchini Zambia

(CRI Online) Oktoba 09, 2024

Kampuni za China zinazofanya kazi nchini Zambia zinapanga kuongeza uwekezaji wao katika sekta ya madini kwa dola bilioni 5 za Marekani katika kipindi cha miaka mitano ijayo na kuongeza uzalishaji hadi tani 280,000 za shaba nchini humo.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kampuni za China Zinazochimba Madini nchini Zambia, Li Zhanyan, amesema Jumatatu kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Uchimbaji na Uwekezaji kwenye Madini nchini Zambia mwaka 2024 kwamba kampuni hizo zimewekeza zaidi ya dola bilioni 3.5 katika sekta ya madini ya Zambia katika miaka 26 iliyopita, zikitoa nafasi za ajira 15,000 na kuzalisha tani 130,000 za shaba safi, tani 250,000 za shaba ghafi, na tani 50,000 za shaba iliyochujwa kila mwaka.

Mkutano huo, wenye kaulimbiu ya "Uchimbaji Madini Zaidi ya Shaba; Kusherehekea Miaka 100 ya Uchimbaji Madini nchini Zambia," umeanza kufanyika kuanzia Oktoba 7 hadi 11 mjini Lusaka, Zambia.

Ukiwa umewaleta pamoja washiriki zaidi ya 2,500, mkutano huo unatoa jukwaa la kuchangia maarifa, ushirikiano na uwekezaji ili kuendesha sekta ya madini ya Zambia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>