久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yasema ina imani ya kufikia lengo la ukuaji wa uchumi la mwaka huu, sera zaidi ziko mbioni

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2024

Watalii wakitazama onyesho la fashifashi za fataki kwenye eneo la kivutio cha watalii la Yuantouzhu la Ziwa Taihu katika Mji wa Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 5, 2024. (Picha na Pan Zhengguang/Xinhua)

Watalii wakitazama onyesho la fashifashi za fataki kwenye eneo la kivutio cha watalii la Yuantouzhu la Ziwa Taihu katika Mji wa Wuxi, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Oktoba 5, 2024. (Picha na Pan Zhengguang/Xinhua)

BEIJING - China ina imani ya kufikia lengo kamili la mwaka mzima la ukuaji wa uchumi, huku ikitafakari sera mpya ya kuunga mkono kudumisha ukuaji wa uchumi ulio tulivu na mzuri, Zheng Shanjie, Mkuu wa Kamati ya Maendeleo na Mageuzi ya China (NDRC) amesema siku ya Jumanne.

Hali ya imani ya soko zimeimarika hivi karibuni huku kukiwa na kupanda juu kwa kiwango cha PMI katika sekta ya viwanda, soko la hisa na soko muhimu la matumizi wakati wa likizo ya Siku ya Taifa linaloimarika kufuatia utekelezaji wa sera zilizopo na sera nyongeza zilizotangazwa hivi karibuni, Zheng amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari.

Aidha, mwelekeo wa ukuaji uchumi wa China haujabadilika, na mazingira mazuri kama vile uwezo mkubwa wa soko na ustahimilivu mkubwa wa uchumi hayajabadilika, amesema Zheng.

Mamlaka ya mambo ya fedha ya China zilitangaza mpango mpana zaidi kuliko ilivyotarajiwa mwezi uliopita ili kuchochea ufufukaji wa uchumi. Hatua hizo za kisera ni pamoja na kupunguza uwiano wa mahitaji ya akiba (RRR) kwa benki na viwango vya riba ya mikopo kwa nyumba zilizopo, pamoja na kuanzisha mipango mipya ya kifedha ili kuimarisha soko la mitaji, miongoni mwa mipango mingine.

Mkutano wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China uliofanyika Septemba 26 ulitoa wito wa kuongezwa kwa juhudi za kutekeleza sera nyongeza wakati China inapojitahidi kutimiza malengo yake ya mwaka ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.

Zheng amesema sera hizo nyongeza zinalenga katika kuboresha ubora wa maendeleo ya kiuchumi, kuunga mkono maendeleo mazuri ya uchumi halisi na wadau wa biashara, na kusawazisha maendeleo yenye sifa bora na usalama wa kiwango cha juu.

Amesema kamati hiyo itafuatilia kwa karibu mabadiliko ya hali ya uchumi, kutathmini athari za utekelezaji wa sera, na kufanya utafiti wa awali kuhusu sera zaidi na kudumisha machaguo ya sera, amesema Zheng.

Uchumi wa China ulidumisha ukuaji thabiti kwa ujumla, huku mafanikio yakiwa yamepatikana katika robo tatu za kwanza za mwaka, amesema Zhao Chenxin, naibu mkuu wa kamati ya NDRC, kwenye mkutano huo na waandishi wa habari.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>