久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Wajumbe zaidi ya 300 wakutana nchini Kenya kwa majadiliano ya biashara isiyo na mipaka

(CRI Online) Oktoba 08, 2024

Wajumbe zaidi ya 300 kutoka taasisi za mapato yatokanayo na kodi barani Afrika, mashirika ya Umoja wa Mataifa, na jumuiya za kiuchumi za kikanda za Afrika wameanza kukutana Jumatatu mjini Nairobi, Kenya, ili kujadili njia za kukuza biashara isiyo na mipaka katika bara hilo.

Mkutano huo wa siku tatu wa Forodha na Biashara barani Afrika wenye kaulimbiu ya "Biashara Isiyo na Mipaka: Uwezeshaji Bora wa Biashara katika Zama za Kidijitali" umewaleta pamoja washiriki kuangalia njia za kutumia kikamilifu teknolojia ili kuongeza uwezeshaji wa biashara barani Afrika.

Kiogozi wa Mawaziri wa Kenya ambaye pia ni Waziri wa Masuala ya Kigeni na Diaspora Musalia Mudavadi amesema kuwa wasimamizi wa mipaka na forodha lazima watumie kikamilifu suluhu na mifumo inayoendeshwa na teknolojia ambayo inarahisisha biashara na kuboresha uhamasishaji wa rasilimali za ndani.

Naye mkuu wa idara ya forodha, ushirikiano, uwezeshaji biashara, na uchukuzi bidhaa katika Eneo la Biashara Huria la Afrika Gyang Demitta Chinwude, amesema ili kuwa na mazingira ya biashara yasiyo na mipaka, Afrika inapaswa kuwa na miundombinu ya kidijitali ambayo inahitaji uwekezaji katika uunganishaji wa intaneti, majukwaa ya kidijitali, na mifumo salama ya mawasiliano ya kuvuka mipaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>