久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi Jinping atuma salamu za pongezi kwa Shigeru Ishiba kwa kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Japan

(CRI Online) Oktoba 06, 2024

Rais Xi Jinping wa China jana alimpigia simu Shigeru Ishiba na kumpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa Japan.

Rais Xi amesema kuwa China na Japan ni majirani waliotenganishwa na maji. Nchi hizo mbili zinafuata njia ya kuishi pamoja kwa amani, urafiki wa kudumu, ushirikiano wa kunufaishana na maendeleo ya pamoja, zinazolingana na maslahi ya kimsingi ya watu wa nchi hizo mbili. Inatarajiwa kuwa Japan na China zitaendana pamoja, kuzingatia kanuni na maafikiano ya hati nne za kisiasa kati ya China na Japan, kuhimiza kwa kina uhusiano wa kimkakati na wa kunufaishana kati ya nchi hizo mbili, na kuwa na azma ya kujenga uhusiano thabiti wa China na Japan unaokidhi matakwa ya zama mpya.

Siku hiyo hiyo, Waziri Mkuu Li Qiang pia alituma salamu za pongezi kwa Shigeru Ishiba, akisema kwamba pande hizo mbili zinapaswa kudumisha msingi wa kisiasa wa uhusiano wa nchi hizo mbili, kuimarisha urafiki, kuaminiana na kushirikiana, na kunufaisha zaidi watu wa nchi hizo mbili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>