久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kenya yazindua mpango mkakati wa kuimarisha uhifadhi wa wanyamapori

(CRI Online) Oktoba 01, 2024

Mamlaka ya Wanyamapori ya Kenya (KWS) imezindua mpango mkakati wa 2024 hadi 2028 ukionyesha njia ya kuimarisha ulinzi wa wanyamapori kote nchini Kenya.

Waziri wa Utalii na Wanyamapori wa Kenya Bibi Rebecca Miano, amesema mjini Nairobi kuwa lengo la mpango huo ni kuweka mkazo katika mbinu inayoongozwa na sayansi na inayoendeshwa na data katika usimamizi wa wanyamapori.

Amesema mpango huo unataka kuimarisha uchumi wa wanyamapori, kupunguza upotevu wa viumbe hai, kuboresha ushirikiano wa jamii, na kuleta manufaa kutokana na uhifadhi wa wanyamapori.

Bibi Miano ameongeza kuwa matarajio ya mpango huo ni kuifanya Kenya kuwa kwenye nafasi ya kuongoza kwenye utalii endelevu, na kuhimiza uchumi wa wanyamapori ni sawa na injini muhimu ya ukuaji.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>