久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi asisitiza kuendeleza umoja wa taifa la China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2024

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), akitoa hotuba muhimu kwenye mkutano mkuu wa kuwasifu watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwa  mshikamano na maendeleo ya makabila uliofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 27, 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), siku ya Ijumaa kwenye mkutano mkuu uliofanyika Beijing kwa ajili ya kuwasifu watu na vikundi vya mfano kuigwa kwa mshikamano na maendeleo ya makabila ya China ametoa wito wa kuendeleza umoja wa Taifa la China.

Ametoa wito wa kufanya juhudi za kuhimiza ujenzi wa jumuiya ya makabila ya Taifa la China.

Akihutubia mkutano huo, Rais Xi amesema chama cha CPC siku zote kinatilia maanani zaidi mambo ya makabila. Katika kipindi cha zaidi ya miaka mia moja iliyopita, kimeanzisha njia sahihi ya kushughulikia mambo ya makabila kwa namna maalum ya China.

Rais Xi amesema, katika kufuata njia hiyo, chama cha CPC kimepiga hatua mpya katika kuendeleza uhusiano wa makabila ulio wa usawa, mshikamano, kusaidiana na kuwa wa maafikiano, na kimehimiza mambo ya uchumi na jamii ya maeneo ya makabila na maisha ya makabila madogo kupata maendeleo ambayo hayajawahi kupatikana.

Rais Xi amesisitiza kuweka mkazo katika kushughulikia mambo ya makabila kwa namna maalum ya China, ambayo ni pamoja na kuongeza mshikamano kati ya makabila yote, kufuata kanuni ya usawa kwa makabila yote, kupinga ukandamizaji na udhalilishaji wa kikabila, na kuweka uwiano mwafaka wa kulinda umoja wa kitaifa na utekelezaji wa kujiendesha kwa mikoa na maeneo ya makabila.

Njia hiyo imesaidia kujenga uelewa wenye nguvu juu ya utambuzi wa hadhi ya pamoja na mshikamano ndani ya Taifa la China, Rais Xi amesema.

Taifa la China ni taifa kubwa lenye historia ya ustaarabu wa zaidi ya miaka 5,000, amesema Rais Xi, akisisitiza kwamba uundwaji na maendeleo ya jumuiya ya kitaifa ya China ni nia ya watu, mwelekeo wa nyakati, na ulazima wa kihistoria.

Ametoa wito wa kufanya juhudi za kuongoza watu wa makabila yote ya China kushikilia kithabiti dhana ya jumuiya ya makabila yote ya Taifa la China. Amesisitiza umuhimu wa kuimarisha elimu kuhusu uzalendo, ujumuishi, na ujamaa, vilevile kuimarisha elimu ya historia na utamaduni kwa vijana.

Zaidi ya hayo, ametoa wito wa kufanya juhudi za kuhimiza kikamilifu matumizi ya lugha sanifu ya Kichina.

Rais Xi amesema kuwa katika kuendeleza ujenzi wa mambo ya kisasa wa China na kufikia ustawi wa pamoja, hakuna kabila litakaloachwa nyuma.

Vikundi jumla ya 352 na watu 368 wametunukiwa kwenye mkutano huo, ambapo Rais Xi na viongozi wengine wakuu walitoa tuzo kwa wajumbe wa watu na vikundi hivyo vya mfano wa kuigwa.

Mkutano mkuu wa kuwasifu watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwa  mshikamano na maendeleo ya makabila ukifanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 27, 2024. (Xinhua/Xie Huanchi)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), na viongozi wengine waandamizi wakitoa tuzo kwa wajumbe wa watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwenye mkutano mkuu wa  kuwasifu watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwa mshikamano na maendeleo ya makabila uliofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 27, 2024. (Xinhua/Ju Peng)

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC), na viongozi wengine waandamizi wakitoa tuzo kwa  wajumbe wa watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwenye mkutano mkuu wa  kuwasifu watu na vikundi vya mfano wa kuigwa kwa mshikamano na maendeleo ya makabila uliofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 27, 2024. (Xinhua/Li Xueren)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>