久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Namibia yatazamia kupanua huduma za tiba za Kichina kutokana na kuongezeka kwa kupendwa kwake (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Namibia yatazamia kupanua huduma za tiba za Kichina kutokana na kuongezeka kwa kupendwa kwake
Wahusika wa kundi la 15 la timu ya madaktari wa China wakihudhuria hafla ya kupokezana zamu kwa timu za madaktari wa China za kundi la 15 na 16 katika Hospitali ya Kati ya Katutura mjini Windhoek, Namibia, Septemba 20, 2024. (Picha na Musa C Kaseke/Xinhua)

WINDHOEK - Wizara ya Afya na Huduma za Jamii ya Namibia (MoHSS) inafikiria kupanua huduma za tiba za Kichina kote nchini humo, kufuatia kuongezeka kwa kupendwa kwa huduma hizo miongoni mwa wananchi wa Namibia, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara ya Afya na Huduma za Jamii (MoHSS) ya Namibia Jeremia Nghipundjua amesema.

Akizungumza katika hafla ya kupokezana zamu kwa timu za madaktari wa China wa kundi la 15 na 16 nchini Namibia siku ya Ijumaa, iliyofanyika katika Hospitali ya Kati ya Katutura katika mji mkuu wa nchi hiyo wa Windhoek, Nghipundjua amesisitiza mchango mkubwa wa timu za madaktari wa China.

Timu hiyo ya madaktari wa kundi la 15 inayomaliza muda wake imetibu wagonjwa zaidi ya 19,000 katika muda wa miezi 18 tu, ikionyesha kukubalika kwa dawa za Kichina na tiba ya acupuncture nchini Namibia.

Nghipundjua amesisitiza kuwa timu hiyo ya madaktari wa China imeanzisha huduma za tiba zinazohitajika sana, hasa za acupuncture, ambazo hazifanyiki kwa kawaida nchini humo.

"Huduma hizi zinasaidia kudhibiti hali kama vile maumivu, matatizo ya mshipa wa mifupa, na hali ya mishipa ya fahamu, miongoni mwa mengine," amesema, akibainisha kuwa timu za matibabu za China zinatoa kitu cha kipekee kwa Wanamibia.

Michango ambayo China imetoa kwa sekta ya afya ya Namibia ni ya aina yake, amesema Nghipundjua, akizungumzia ushirikiano katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na chanjo dhidi ya UVIKO-19, ujenzi wa vituo vya afya, na mafunzo ya wataalamu wa afya.

Balozi wa China nchini Namibia Zhao Weiping ameeleza imani yake katika mustakabali wa ushirikiano wa afya kati ya China na Namibia.

“Pamoja na kwamba tunapata ugumu wa kuaga Timu ya Kundi la 15 la Madaktari inayomaliza muda wake, hakika tunayo furaha kuwakaribisha madaktari wa Timu ya Kundi la 16 waliowasili hivi karibuni wakiongozwa na Dk. Huang Qin.

Tangu mwaka 1996, serikali ya China imekuwa ikituma timu za madaktari nchini Namibia mara kwa mara ili kuimarisha huduma za afya nchini humo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>