久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Fundi mwenye tatizo la kusikia?kuandaa kahawa na kutia upendo kwenye kikombe cha kahawa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Fundi mwenye tatizo la kusikia?kuandaa kahawa na kutia upendo kwenye kikombe cha kahawa
Chen Yuanyuan (kulia) akitoa ishara ya OK kwa mfanyakazi mwenzake kwenye Mkahawa wa lugha ya ishara wa Starbucks mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Septemba 22, 2024. (Xinhua/Hu Jingwen)

Kwenye mkahawa mmoja katika Eneo la Jiang'an la Mji wa Wuhan, Mkoa wa Hubei katikati mwa China, fundi mwenye tatizo la kusikia wa kuandaa kahawa, Chen Yuanyuan anaandaa vikombe vya kahawa vilivyojaa upendo kwa wateja wake.

Miaka mitano iliyopita, kufunguliwa kwa mkahawa wa Starbucks wenye huduma za lugha ya ishara mjini Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, Kusini mwa China, kulimfanya mkereketwa wa kahawa Chen Yuanyuan, ambaye alikuwa akifanya kazi katika mji huo wakati huo, kutambua kwamba, kuwa mtu mwenye tatizo la kusikia haikuwa kizuizi kwake kuwa fundi wa kahawa. Mara tu baada ya kuacha kazi aliyokuwa akifanya, alianza muhula wake wa mafunzo kwenye mkahawa wa Starbucks.

Kuandaa kahawa kwake ilikuwa kazi ngumu kwa ujumla. Kwa mfano, fundi wa kawaida hufunzwa kuamua wakati maziwa yamejaa povu kwa kwa kutegemea sauti inayotolewa na kifaa cha mashine ya kuandaa kahawa. Hata hivyo, Chen na mafundi wengine wenye tatizo la kusikia au usikivu mdogo walipata mafunzo ya kuamua hali hiyo kwa kuona na kuhisi halijoto kwa mikono yao.

Changamoto hazikumzuia Chen. Mapenzi yake kwa kahawa yalichochea dhamira yake katika kujifunza na kuboresha hata zaidi.

Mwaka jana, wakati mkahawa wa kwanza wa lugha ya ishara wa Starbucks katikati mwa China ulipokuwa tayari kufunguliwa katika mji alikozaliwa wa Wuhan, Chen alichukua fursa hiyo na akajiunga na timu hiyo kwa mafanikio. Katika mkahawa huu, Chen na mafundi wenzake wamejenga mazingira rafiki na jumuishi kwa ujuzi wao wa kitaaluma na huduma ya kikarimu.

"Ninatumai kuwa maduka na mikahawa zaidi ya lugha ya ishara itajitokeza," Chen amesema kwa lugha ya ishara. "Kwa njia hii, watu wa kawaida na watu wenye tatizo la kusikia na utamaduni wao wanaweza kuongeza maelewano. Tukiwa na nafasi nyingi za kazi, tunaweza kutambua thamani yetu."

Takwimu za Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu la China zinaonesha, hadi kufikia mwisho wa Mwaka 2023, watu zaidi ya milioni tisa wenye vitambulisho vya ulemavu walikuwa wameajiriwa, huku kukiwa na ajira mpya takriban 544,000 mwaka jana. Viwanda vipya na miundo mipya kulingana na uvumbuzi wa kiteknolojia vimeunda fursa zaidi za ajira.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>