<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mkutano wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo wa “Mazungumzo na Dunia kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” wafanyika (2)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024
    Mkutano wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo wa “Mazungumzo na Dunia kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” wafanyika
    Picha ikionesha hafla ya uzinduzi. (People’s Daily Online/Liu Bin)

    Tarehe 12, Septemba, ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Kuwasiliana na Kufundishana kwa Utamaduni wa Kilimo uitwao “Mazungumzo na Dunia Kuhusu Mashamba ya Ngazi ya Ziquejie” na mihadhara umefanyika katika Wilaya ya Xinhua ya Loudi, Mkoa wa Hunan China.

    Kwenye ufunguzi huo wa mkutano yametolewa kwa "Makubaliano kuhusu Maendeleo ya Pamoja ya Kilimo, Utamaduni na Utalii Kwenye Mashamba ya Ngazi Duniani", makubaliano hayo yakieneza maoni mamoja kuhusu kuelewa ipasavyo thamani ya mashamba ya ngazi, kulinda mazingira ya asili ya mashamba ya ngazi, kurithisha utamaduni wa kilimo cha mashamba ya ngazi n.k.

    Kwenye jukwaa la mihadhara lililofanyika baadaye, wajumbe kutoka nyanja za mali ya urithi wa utamaduni wa kilimo, na sekta za utamaduni na utalii walijadiliana kwa kina kuhusu namna ya kufanya vizuri ushirikiano na kufundishana katika nyanja ya utamaduni wa kilimo, kuhimiza uvumbuzi wa mafungamano ya kilimo, utamaduni na utalii, na kutia uhai mpya kwenye ustawishaji wa vijiji.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>