Lugha Nyingine
Xi Jinping akagua Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu wa China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 13, 2024
Mchana wa tarehe 11, Xi Jinping, ambaye ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China alifanya ukaguzi kwenye sehemu ya jamii ya wakaazi ya Zaolinxi ya Eneo la Anning, na sehemu ya Daraja la Zhongshan la Mto Manjano katika Mji wa Lanzhou, Mkoa wa Gansu wa China, ambapo alifahamishwa kuhusu hali ya sehemu hiyo kuboresha huduma kwa jamii ya wakaazi na kutoa urahisi kwa maisha ya watu, kuimarisha usimamizi wa pande zote wa usalama wa jamii na kuhimiza ulinzi wa mazingira ya asili ya eneo la Mto Manjano.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma