Lugha Nyingine
Shughuli Mbalimbali za Jumuiya za wakazi Zakaribisha Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Mkazi wa Jumuiya ya Mohe, Mtaa wa Longquan akionyesha taa ya Sikukuu ya jadi ya?Mbalamwezi aliitengeneza, Septemba 11. (Xinhua/Xu Yu) |
Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi inasherehekewa kwa furaha kubwa katika mwezi wa Septemba. Hivi karibuni, jumuiya mbalimbali za wakazi wa Mtaa wa Longquan, Eneo la Wuxing, Mjini Huzhou, Mkoani Zhejiang zimefanya shughuli za "Sikukuu yetu · Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi" zilizo na maudhui tofauti na aina mbalimbali, ili kurithi na kuendeleza utamaduni mzuri wa kijadi, kuboresha maisha ya kitamaduni ya watu na kukaribisha Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma