Lugha Nyingine
Fursa?za Biashara ya Zabibu Zaingiza?Msukumo Mpya katika Ustawishaji wa?Sekta ya Vijiji Mkoani Xinjiang, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2024
Mfanyabiashara akitembelea Kiwanda cha Kutengeneza Mvinyo cha Gobi Impression cha Xinjiang katika Mji wa Changji, Mkoa wa Xinjiang, Septemba 9. (Xinhua/Ding Lei) |
Hivi karibuni, bustani ya kielelezo ya upandaji na usimamizi wa zabibu za mvinyo katika Kijiji cha Ergong cha Sangong, Mji wa Changji, Xinjiang, China imeingia katika msimu wa mavuno. Katika miaka ya hivi karibuni, eneo hilo limetumia kikamilifu faida yake ya kijiografia kuendeleza sekta ya zabibu na kuanzisha ushirika na mashamba mbalimbali ya familia kwa kutegemea maeneo ya kimsingi ya upandaji. Kwa muda mfupi, “zabibu ndogo” zimekuwa “sekta kubwa” ikiwezesha utajiri kwa wanakijiji wengi zaidi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma