久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China kwa mara ya kwanza Yaagiza Nyama ya Mbuzi kutoka Afrika (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
China kwa mara ya kwanza Yaagiza Nyama ya Mbuzi kutoka Afrika
Maafisa wa Idara ya Forodha ya Changsha wakikagua nyama ya mbuzi, Septemba 8.(Xinhua/Chen Zhenhai)

Siku ya Jumapili, nyama ya mbuzi iliyogandishwa kutoka Madagaska, Afrika, ilifika kituo cha ukaguzi wa nyama iliyoagizwa kutoka nje cha Hongxing mkoani Hunan. Nyama hiyo yenye uzito wa kilo 900 kwa jumla ni shehena ya kwanza kuagizwa kutoka Madagaska baada ya nchi hiyo kupata idhini ya kuuza nyama ya mbuzi kenye soko la China mwaka jana, na pia ni mara ya kwanza kwa China kuagiza nyama ya mbuzi kutoka Afrika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>