久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yawatunuku walimu wa mfano wa kuigwa na taasisi za elimu wakati Siku ya Walimu ikiwadia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 09, 2024
China yawatunuku walimu wa mfano wa kuigwa na taasisi za elimu wakati Siku ya Walimu ikiwadia
Washiriki wakipiga makofi baada ya hotuba ya mjumbe kwenye hafla ya kutunuku walimu wa mfano wa kuigwa na makundi na taasisi bora katika sekta ya elimu ya China mjini Beijing, Septemba 8, 2024. (Xinhua/Li Xin)

BEIJING – Hafla ya kutunuku tuzo imefanyika siku ya Jumapili mjini Beijing kwa ajili ya kuwasifu walimu wa mfano wa kuigwa na makundi na taasisi bora katika sekta ya elimu ya China wakati Siku ya Walimu ya China ya Tarehe 10, Septemba inawadia, ambapo walimu jumla ya 716 wametunukiwa na kusifiwa kuwa walimu wa mfano wa kuigwa wa kitaifa, 895 wametunukiwa na kusifiwa kuwa walimu bora wa kitaifa, na watu wengine 179 wametunukiwa kwa kazi yao nzuri katika mfumo wa elimu nchini humo.

Pia, taasisi 585 zimepongezwa kwa kazi nzuri katika elimu.

Siku ya Walimu mwaka huu ni Siku ya 40 ya Walimu ya China.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>