<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    China yaongeza mwitikio wa dharura kwa kimbunga Yagi katika Mikoa ya Guangdong na Hainan hadi Ngazi ya Pili

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024
    China yaongeza mwitikio wa dharura kwa kimbunga Yagi katika Mikoa ya Guangdong na Hainan hadi Ngazi ya Pili
    Wafanyakazi wakikata matawi ya miti ambayo yananing’inia kabla ya kimbunga Yagi kutua huko Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Septemba 5, 2024. (Xinhua/Guo Cheng)

    BEIJING - Idara Kuu ya Kudhibiti Mafuriko na kupambana na Ukame ya China yameongeza mwitikio wake wa dharura wa kuzuia mafuriko na kimbunga kutoka ngazi ya tatu hadi ngazi ya pili katika mikoa ya Guangdong na Hainan saa 9 alasiri siku ya Alhamisi, wakati ambapo Kimbunga Yagi kinakaribia.

    Kiini cha Yagi, kimbunga cha 11 kwa mwaka huu kuikumba China, kilikuwa kikionekana baharini umbali wa takriban kilomita 540 kusini mashariki mwa Wilaya ya Xuwen, Mkoa wa Guangdong, saa 8 mchana siku ya Alhamisi.

    Kimbunga Yagi kinakadiria kutua Ijumaa alasiri au jioni mahali fulani kati ya mji wa Qionghai huko Hainan na Mji wa Maoming huko Guangdong.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av