Lugha Nyingine
Viongozi wakuu mbalimbali wa kuhudhuria mkutano wa FOCAC wawasili Beijing kwa mfululizo (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2024
BEIJING - Viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanafululiza kuwasili Beijing, Mji Mkuu wa China kwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika kuanzia Septemba 4-6.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma