<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Mkutano wa Kutangaza shughuli za utalii za Eneo Kubwa la Mlima Huangshan wafanyika Beijing (6)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2024
    Mkutano wa Kutangaza shughuli za utalii za Eneo Kubwa la Mlima Huangshan wafanyika Beijing
    Msanii Han Zaifen akielezea majaliwa yake na “Eneo Kubwa la Mlima Huangshan.” (Picha na Zhangjun/People’s Daily Online)

    Tarehe 23, Agosti, mkutano wa kutangaza kwa Dunia shughuli za utalii za Eneo Kubwa la Mlima Huangshan ulioandaliwa na Idara ya Utamaduni na Utalii ya Mkoa wa Anhui na Ofisi ya Mawasiliano ya Habari za Intaneti ya kamati ya chama ya Mkoa wa Anhui ulifanyika katika shirika la Gazeti la Umma.

    Mlima Huangshan unajulikana nchini na nje ya China kutokana na mandhari yake nzuri. Ukiwa ni mali za dunia za urithi wa mazingira ya asili na wa kiutamaduni, mlima huo ni chimbuko la shughuli za utalii kwa hivi sasa nchini China.

    Kutokana na mlima maarufu wa Huangshan, Mkoa wa Anhui umeanzisha shughuli za utalii kwenye “Eneo Kubwa la Mlima Huangshan” linalohusisha miji minne ya Huangshan, Chizhou, Anqing na Xuancheng na wilaya 28.

    Mkutano huo wa kutangaza shughuli za utalii uliwaalika wawakilishi wa sekta nane kuwa watangazaji wa shughuli za utalii za “Eneo Kubwa la Mlima Huangshan”, ambao walisimulia vilivyo mvuto wa eneo hilo kwa kupitia walivyojionea.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av
    <sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
    <noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>