Lugha Nyingine
Zabibu Zavutia Wageni huko Turpan, Mkoa Unaojiendesha wa Xinjiang, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2024
Kuanzia tarehe 16 hadi 18 Agosti, Tamasha la 30 la Zabibu la Turpan la Njia ya Hariri la China limefanyika mjini Turpan, Xinjiang. Tamasha hilo lenye kauli mbiu ya "zabibu za Turpan zimeiva" na kuwaalika wageni wa ndani na nje ya China kuonja zabibu na bidhaa zao, kupata uzoefu wa utamaduni wa kipekee wa zabibu wa Turpan na uzuri wa Njia ya Hariri.
Turpan iko katika ukanda wa kupanda zabibu wenye "latitudo ya dhahabu". Sasa eneo la mashamba ya zabibu limefikia Mu 630,000(takriban hekta 42,000) na kuna aina 550 za zabibu. Sekta ya kilimo cha zabibu imekuwa "alama ya dhahabu" ya Turpan.?
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma