Lugha Nyingine
Picha: Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
Picha hii iliyopigwa tarehe 15, Agosti, 2024 ikionesha Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya. (Xinhua/Wang Guansen) |
Kikijengwa na Kampuni ya Mawasiliano na Ujenzi ya China, Kituo cha Mafuta cha bandari ya Mombasa nchini Kenya kilianza rasmi uendeshaji wake mwezi Agosti, 2022. Kituo hicho kimeongeza kwa kiasi kikubwa uwezo wa kusafirisha mafuta na gesi, na ufanisi wa kupakua mafuta wa Bandari ya Mombasa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma