久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Chombo cha “Jiaolong” cha China chamaliza kazi ya mara ya 300 ya kuzamia chini baharini (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
Chombo cha “Jiaolong” cha China chamaliza kazi ya mara ya 300 ya kuzamia chini baharini
Tarehe 18, Agosti, wahandisi wa “Jiaolong” Jiang Sheng (kushoto), Xiu Keshun (kulia) wakifanya maandalizi kabla ya kuzamia chini ya bahari kwa chombo hicho. (Picha na Wang Yuhao/Xinhua)

Tarehe 18, Agosti, Timu ya Utafiti wa Kisayansi ya Kimataifa ya Bahari ya Pasifiki ya Magharibi ya mwaka 2024 ilikamilisha kwa mafanikio kazi yake ya kwanza ya kuzama baharini katika safari hiyo kwenye eneo la Bahari ya Pasifiki ya Magharibi. Hii pia ilikuwa mara ya 300 ya kufanya kazi ya kuzamia chini ya bahari kwa "Jiaolong," chombo cha kwanza cha kubeba binadamu chenye uwezo wa kuzamia chini ya bahari kwa mita 7,000, chombo hicho ambacho kilichosanifiwa na kuundwa na China yenyewe.

Baada ya kupitia vipindi vya majaribio ya baharini, matumizi ya majaribio, uendeshaji wa kibiashara n.k., "Jiaolong" imeacha nyayo zake katika Bahari ya Pasifiki, Bahari ya Hindi, na Bahari ya Atlantiki.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>