久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ukingo wa lambo uliobomoka katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wazibwa (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 15, 2024
Ukingo wa lambo uliobomoka katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani wazibwa
Waokoaji wakiendesha mashine kuziba ukingo wa lambo uliobomoka katika Kitongoji cha Taipingdi cha Mji wa Chifeng, Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Agosti 14, 2024. (Xinhua/Bei He)

HOHHOT – Ukingo wa lambo uliobomoka kwenye mto ulio Mkoa wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China ulikuwa umezibwa kufikia saa 8:13 mchana siku ya Jumatano, na bila kusababisha vifo na majeruhi ya watu, kwa mujibu wa idara ya kinga na udhibiti wa ukame na mafuriko ya mkoa huo.

Kubomoka kwa ukingo huo wa lambo, kwenye eneo lenye urefu wa mita 10 kwa upana, kulitokea majira ya saa 6:40 mchana siku ya Jumanne kwenye Mto Laoha katika Kitongoji cha Taipingdi cha Mji wa Chifeng, kukilazimu zaidi ya wakazi 800 kuondoka kwenye makazi yao na kuathiri mashamba ya kilimo yenye ukubwa wa hekta 600.

Waokoaji zaidi ya 800 kutoka jeshi la polisi, jeshi la zimamoto, idara za usalama wa umma, idara za usimamizi wa dharura na idara zingine walitumwa kuziba ubomokaji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>