<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>

    久久精品蜜芽国产亚洲av,国产成人观看免费全部完,1024综综合合久久AV,午夜国产成人精品,国产精品综合承认,国产高跟黑色丝袜在线

    Askari wa zamani wa Japan wa kikosi cha vita vya kutumia vijidudu afichua uhalifu wa kivita nchini China

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2024
    Askari wa zamani wa Japan wa kikosi cha vita vya kutumia vijidudu afichua uhalifu wa kivita nchini China
    Hideo Shimizu akiomba msamaha mbele ya mnara wa kuomba msamaha na wa kupinga vita katika eneo la zamani la Kikosi cha 731 huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, Kaskazini Mashariki mwa China, Agosti 13, 2024. (Xinhua/Wang Jianwei)

    HARBIN - Hideo Shimizu, askari wa zamani wa Kikosi cha 731 cha jeshi la Japan ambacho ni kikosi hatari cha vita vya kutumia vijidudu cha Japan wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, amebainisha uhalifu wa Jeshi la Japan siku ya Jumanne katika eneo alilofanya kazi wakati wa vita hivyo miaka 79 iliyopita nchini China.

    Shimizu mwenye umri wa miaka 94, ni miongoni mwa kundi la mwisho la Askari Vijana wa Kikosi cha 731 waliotumwa na Japan kwenda Harbin, China, ambako alitumia zaidi ya miezi minne kushuhudia uhalifu wa kivita uliokuwa ukifanywa na kitengo hicho, ikiwa ni pamoja na ukuzaji wa vimelea vya magonjwa, upasuaji wa binadamu na majaribio ya binadamu. Alitoroka China na vikosi vya Japan vilivyokuwa vikirudi nyuma mnamo Agosti 14, 1945.

    Ziara hii ni ya kwanza kwa Shimizu kurejea katika ardhi ya China katika miaka 79 iliyopita.

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    久久精品蜜芽国产亚洲av