久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Tamasha la Sikukuu ya Nadam laanza katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China
Maonesho ya michezo ya sanaa yakifanyika kwenye ufunguzi wa Tamasha la Sikukuu ya Nadam huko Horqin Right Wing Front Banner, Ligi ya Hinggan, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China, Agosti 8, 2024. (Xinhua/Lian Zhen)

Katika shughuli za siku tano za Tamasha la Sikukuu ya Nadam ya watu wa kabila la Wamongolia, zitafanyika shughuli za michezo na tamasha za muziki. Shughuli za mbio za farasi, mieleka na kupiga mishale zimeanza jana Alhamisi huko Horqin Right Wing Front Banner, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China.?

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>