Lugha Nyingine
Mkoa wa Shandong, China waendeleza mageuzi na maendeleo jumuishi ya bandari za pwani (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Malori ya kubeba kontena yakionekana kwenye katika Bandari ya Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Agosti 6, 2024. (Xinhua/Li Ziheng) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China umekuwa ukitumia kikamilifu maliasili yake baharini kuhimiza maendeleo na mageuzi jumuishi ya bandari za pwani, ili kujenga kundi la bandari za kiwango cha juu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma