久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa kabla ya maonyesho ya 7 ya CIIE wafanyika Shanghai (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa kabla ya maonyesho ya 7 ya CIIE wafanyika Shanghai
Waonyeshaji bidhaa wakizungumza na mnunuzi (katikati) kwenye mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa uliofanyika kwenye Eneo la Maonyesho ya Viwanda vya Teknolojia za Kisasa na Teknolojia ya Upashanaji wa Habari na Eneo la Maonyesho ya Magari kabla ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) katika Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shanghai, Mashariki mwa China, Agosti 8, 2024. (Picha na Chen Haoming/Xinhua)

Mkutano wa uratibu wa utoaji bidhaa na mahitaji ya bidhaa ya kabla ya Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) umeanza kwenye Kituo cha Kitaifa cha Maonyesho na Mikutano cha Shangai, Mashariki mwa China. Maonyesho hayo yamepangwa kufanyika huko Shanghai kuanzia Novemba 5 hadi 10 mwaka huu.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>