Lugha Nyingine
Picha: Eneo Maalum la Kwanza la China la Viwanda vya Nishati ya Upepo wa Baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 09, 2024
Mkono wa roboti ukiunda mitambo ya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini yenye uwezo wa megawati 18 kwenye Eneo Maalum la Viwanda vya Kuzalisha Umeme kwa Nishati ya Upepo wa Baharini la Magenge Matatu ya Fujian mjini Fuqing, Mkoa wa Fujian, Kusini Mashariki mwa China, Agosti 8, 2024. (Xinhua/Jiang Kehong) |
Eneo hilo maalum la viwanda, likiwa na thamani ya jumla ya uwekezaji wa Yuan bilioni 4 (Dola takriban milioni 557.7 za Kimarekani), ni eneo maalum la kwanza la viwanda vya kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo wa baharini lenye mnyororo kamili wa viwanda hivyo nchini China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma