Lugha Nyingine
Kambi ya mafunzo kwa wanafunzi wenye matatizo ya kuona yafikia?tamati mjini Shanghai, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 08, 2024
Kambi ya mafunzo ya siku kumi kwa wanafunzi 20 wenye matatizo ya kuona wa vyuo vikuu kutoka sehemu mbalimbali za China imehitimishwa huko Shanghai, mashariki mwa China siku ya Jumatano Agosti 6, 2024. Wanafunzi hao 20 wenye matatizo ya kuona watafaa zaidi katika maisha yao yajayo ya chuo kwa uwezo wa kimwili na kiakili waliojifunza kwenye kambi hiyo ya mafunzo.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma