Lugha Nyingine
Quan na Chen wa China wanyakua medali za dhahabu na fedha katika fainali ya wanawake kupiga mbizi kutoka jukwaa la kimo cha mita 10 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2024
Kwenye fainali ya mchezo wa kupiga mbizi kwa wanawake kutoka jukwaa la kimo cha mita 10 ya Michezo ya Olimpiki ya Paris iliyofanyika jana Jumanne, mpiga mbizi wa China Quan Hongchan amenyakua medali ya dhahabu, huku mchezaji mwingine wa China Chen Yuxi akishinda medali ya fedha.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma