久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Ufikiaji wa huduma ya 5G kwa Tanzania wapanuka kwa kasi na kufikia asilimia 15

(CRI Online) Julai 24, 2024

Asilimia ya idadi ya watu wa Tanzania wanaofikiwa na huduma ya mawasiliano ya habari ya kizazi cha tano (5G) imepanda hadi kufikia asilimia 15 katika robo ya pili ya mwaka huu wa kalenda, kutokana na uwekezaji unaoendelea katika miundombinu ya mawasiliano nchini Tanzania.

Ripoti mpya ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaonyesha kuwa mawasiliano ya 5G yamepanda kutoka asilimia 13 ya watu katika robo ya kwanza hadi asilimia 15 katika robo ya pili.

Tanzania ilizindua huduma ya 5G mwaka jana. Ufikiaji wa 3G umefikia asilimia 89 ya idadi ya watu, na hivyo kuimarisha upatikanaji wa huduma za data, wakati ufikiaji wa 4G umefikia asilimia 83, hali ambayo imeboresha kasi na kuaminika kwa huduma za mtandao.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>