久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yasema nchi zenye silaha za nyuklia zinapaswa kusaini mkataba au kutoa tamko la kisiasa kuhusu matumizi ya silaha hizo

(CRI Online) Julai 24, 2024

Picha iliyopigwa Julai 23 ikionesha mkutano wa pili wa maandalizi ya Mkutano wa 11 wa Mapitio ya “Mkataba wa Kutoeneza Silaha za Nyuklia” huko Geneva, Uswisi. Picha na Lina Yi/Xinhua

Picha iliyopigwa Julai 23 ikionesha mkutano wa pili wa maandalizi ya Mkutano wa 11 wa Mapitio ya “Mkataba wa Kutoeneza Silaha za Nyuklia” huko Geneva, Uswisi. Picha na Lina Yi/Xinhua

Mkutano wa pili wa maandalizi ya Mkutano wa Kumi na Moja wa Mapitio ya Mkataba wa Kutoeneza Silaha za Nyuklia umefanyika siku ya jumatatu wiki hii huko Geneva, Uswisi.

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bibi Mao Ning amesema, China ikiwa nchi iliyosaini mkataba huo, imekuwa ikishikilia kwa uthabiti kanuni na madhumuni ya mkataba huo, kutekeleza kwa uaminifu wajibu wake chini ya mkataba huo, na kuhimiza uendelezwaji wa kina na kwa uwiano nguzo tatu za kuondoa silaha za nyuklia, kutoeneza silaha hizo na matumizi ya amani ya nishati ya nyuklia.

Bibi Mao pia amesema, China itafuata kimsingi pendekezo la Rais wa nchi hiyo Xi Jinping la kuzingatia dhana ya usalama wa pamoja, jumuishi na endelevu, kufanya kazi bega kwa bega na pande zote, na kuhimiza kwa pamoja amani, usalama na maendeleo ya dunia.

Katika mkutano huo, China imewasilisha nyaraka nne za kazi kuhusu mpango wa kila upande kutotangulia kutumia silaha za nyuklia, usalama usio wa nyuklia, udhibiti wa silaha za nyuklia, na ushirikiano wa nyambizi za nyuklia kati ya Marekani, Uingereza na Australia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>