久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China na Russia kuimarisha ushirikiano wa uwekezaji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 24, 2024

Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang, ambaye pia ni   mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), na Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza wa Russia Denis Manturov wakifanya mazungumzo na kuongoza kwa pamoja mkutano wa 11 wa Kamati ya Ushirikiano wa Uwekezaji kati ya China na Russia  huko Moscow, Russia, Julai 22, 2024. (Xinhua/Yan Yan)

MOSCOW – Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang na Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza wa Russia Denis Manturov wamefanya mazungumzo na kuongoza kwa pamoja mkutano wa 11 wa Kamati ya Ushirikiano wa Uwekezaji kati ya China na Russia siku ya Jumatatu, wakiahidi kuhimiza ushirikiano wa uwekezaji ili kunufaishana na kupata maendeleo kwa pamoja.

Ding, ambaye pia ni mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), amesema chini ya mwongozo wa kimkakati wa wakuu wa nchi hizo mbili, ushirikiano wa uwekezaji kati ya China na Russia umedumisha kasi nzuri ya maendeleo, ukileta manufaa halisi kwa nchi hizo mbili na watu wake.

Tangu ufanyike mkutano wa 10 wa Kamati ya Ushirikiano wa Uwekezaji kati ya China na Russia, pande hizo mbili zimeimarisha mpango wa jumla kuhusu utendaji wa ushirikiano huo wa pande mbalimbali, kuhimiza kwa hatua madhubuti katika miradi muhimu, kuanzisha mambo muhimu katika ushirikiano wa serikali za mitaa, na kufikia mfululizo wa matokeo mapya yanayohimiza juhudi, amesema.

Ding amesema China inapenda kushirikiana na Russia katika kutekeleza kwa makini makubaliano muhimu yaliyofikiwa na wakuu wa nchi hizo mbili na kuendelea kuboresha kiwango cha ushirikiano wa uwekezaji kati ya nchi hizo mbili, ili kunufaishana na kupata maendeleo kwa pamoja.

Amependekeza kuwa, pande hizo mbili zinapaswa kuandaa mipango bora zaidi ya kutoa mwongozo wa kuzidisha ushirikiano wa uwekezaji wa pande mbili, kufanya mawasiliano na uratibu kwa karibu zaidi, na kutekeleza miradi ya ushirikiano mapema.

Manturov amesema kuwa biashara na ushirikiano wa uwekezaji kati ya Russia na China umepata matokeo mengi na kasi kubwa ya ukuaji, Russia inapenda kufanya juhudi za pamoja na China katika kuifanya Kamati hiyo ioneshe umuhimu wake na kuimarisha hali ya kuendana kimkakati ili kuchangia katika maendeleo na ustawi wao husika.

Naibu Waziri Mkuu wa China Ding Xuexiang, ambaye pia ni mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), na Naibu Waziri Mkuu wa Kwanza wa Russia Denis Manturov wakifanya mazungumzo na kuongoza kwa pamoja mkutano wa 11 wa Kamati ya Ushirikiano wa Uwekezaji kati ya China na Russia  huko Moscow, Russia, Julai 22, 2024. (Xinhua/Li Tao)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>