久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Sudan na Iran zabadilishana mabalozi wakati kukiwa na hali ya kutengemaa kwa uhusiano wa kidiplomasia

(CRI Online) Julai 23, 2024

Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan (mbele kulia) akipokea rasmi hati za utambulisho za balozi mpya wa Iran Hassan Shah Hosseini (mbele kushoto) huko Port Sudan siku ya Jumapili. (Picha inatoka Xinhua)

Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan (mbele kulia) akipokea rasmi hati za utambulisho za balozi mpya wa Iran Hassan Shah Hosseini (mbele kushoto) huko Port Sudan siku ya Jumapili. (Picha inatoka Xinhua)

Katika kuonesha maendeleo dhahiri kuelekea kurejea kawaida kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Sudan na Iran, Mwenyekiti wa Baraza la Utawala wa Mpito la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan amepokea rasmi hati za utambulisho za balozi mpya wa Iran Hassan Shah Hosseini, huko Port Sudan siku ya Jumapili.

Katika taarifa yake baraza hilo limeielezea hatua hiyo kama “Mwanzo wa awamu mpya katika uhusiano wa pande mbili” kati ya nchi hizo.

Naibu Katibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan Hussein al-Amin amesisitiza kuwa mabadilishano ya mabalozi ni “sehemu muhimu” katika kuendeleza ushirikiano.

Mjumbe huyo wa Iran ameeleza dhamira yake ya kuimarisha uhusiano, na akisisitiza dhamira ya pande zote ya kuimarisha uhusiano. Siku hiyo balozi mpya wa Sudan nchini Iran Abdulaziz Hassan Saleh naye aliondoka kuelekea Tehran na anatarajiwa kuanza kazi hivi karibuni.

Kutengemaa huku kwa uhusiano wa kidiplomasia unafuatia makubaliano yaliyofikiwa Oktoba 2023 kurejesha kawaida uhusiano. Sudan ilikata uhusiano wa kidiplomasia na Iran Mwaka 2016 katika kuonyesha mshikamano na Saudi Arabia, baada ya ubalozi wa ufalme huo kushambuliwa mjini Tehran.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>