久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Kutoka Amsterdam mpaka Shanghai, Profesa wa Chuo Kikuu cha China aendesha baiskeli maelfu ya kilomita kufika kazini

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2024

Profesa Ole Bouman wa Shule ya Usanifu Majengo na Mipango Miji ya Chuo Kikuu cha Tongji cha China hivi karibuni amemaliza safari ya kuendesha baiskeli kutoka Amsterdam, Uholanzi mpaka Shanghai, China kwa kuchukua siku 156. Amepanda baiskeli kwa kilomita 10,756 na kupita nchi 18, na kufika kwa mafanikio kwenye kituo cha mwisho cha safari yake, chuo kikuu hicho cha Tongji anakofanya kazi.

Ole Bouman, profesa wa Shule ya Usanifu Majengo na Mipango Miji wa Chuo Kikuu cha Tongji akiwa amefika Shanghai kwa mafanikio. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Ole Bouman, profesa wa Shule ya Usanifu Majengo na Mipango Miji wa Chuo Kikuu cha Tongji akiwa amefika Shanghai kwa mafanikio. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Tarehe 19, Oktoba mwaka jana, Ole Bouman alichapisha mpango wake wa “Journey to the East (Safari Kuelekea Mashariki)” kwenye mtandao wa kijamii, na kuamua kuendesha baiskeli kutoka Amsterdam mpaka Chuo Kikuu cha Tongji mjini Shanghai, ambako anafanya kazi. Anatumai kwa kurekodi mila na desturi, hekaya za kitamaduni, majengo yenye usanifu wa kale na mandhari nzuri ya mazingira asilia ya sehemu mbalimbali kupitia kuendesha baiskeli.

Safari ya kuendesha baiskeli ya Ole Bouman. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Safari ya kuendesha baiskeli ya Ole Bouman. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Wakati wa safari yake hiyo ya kuendesha baiskeli kwa siku 156, Ole Bouman aliendesha kufuata Njia ya Hariri, akitumia baiskeli kama kalamu yake kufanya mazungumzo kati ya tamaduni za Mashariki na Magharibi. Amerekodi kumbukumbu ya nyakati maalum 1,000 katika safari yake. Tangu mapema Februari mwaka huu, amechapisha makala karibu 30 ya “Journey to the East” yaliyoandikwa katika lugha ya Kichina na Kiingereza kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii.

Katika muhula wa majira ya mchipuko mwaka huu, Ole Bouman aliileta hiyo “Journey to the East” darasani kwenye kipindi chake cha usanifu majengo. Alisimulia na kufafanua fikra alizopata kwenye safari hiyo kwa wanafunzi wa chuo kikuu hicho, akitoa nafasi kwa wanafunzi “kuona” na “kujieleza”.

Maonyesho ya “Journey to the East”. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Maonyesho ya “Journey to the East”. (Picha na Chuo Kikuu cha Tongji)

Kwa sasa maonyesho ya “Journey to the East” yaliyopangwa kwa pamoja na Ole Bouman na wanafunzi wake yanaendelea katika Jumba la Makumbusho ya Sanaa la Biyun lililopo Eneo la Pudong, Shanghai. Maonesho hayo yataendelea hadi tarehe 13, Septemba, yakionesha kikamilifu urithi wa kudumu wa Njia ya Hariri.

“Usanifu majengo ni sitiari ya juhudi endelevu za binadamu kujenga sehemu bora na zenye maana nyingi zaidi katika dunia, zikiwemo bustani, majengo na miji, ambavyo ndivyo hasa tunavyohitaji zaidi kwa sasa. Kutoka Amsterdam mpaka Chuo Kikuu cha Tongji, kupita Bara pana la Eurasia, usanifu wa majengo ni kiungo kati ya sehemu za kuanzia na sehemu za mwisho za safari hii. Ninatumai kumpeleka kila mmoja kuona ustaarabu wa kupendeza wa vitu vyote na kuthamini maana ya ndani na uzuri wa kusafiri,” amesema Ole Bouman.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>