久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

China yafikia mpango wa muda na Ufilipino kuhusu kudhibiti hali katika Kisiwa cha Ren'ai Jiao

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 22, 2024

BEIJING - Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China siku ya Jumatatu alitoa kauli juu ya China kufikia mpango wa muda na Ufilipino kuhusu kudhibiti hali katika Kisiwa cha Ren'ai Jiao, ambapo amesisitiza kwanza kabisa kwamba kisiwa hicho cha Ren'ai Jiao ni sehemu ya Visiwa vya Nansha vya China, na China ina mamlaka juu yake ikiwa ni pamoja na eneo la bahari lililo karibu na kisiwa hicho.

Kuhusu jinsi ya kushughulikia hali ya sasa ya Kisiwa cha Ren'ai Jiao, China imetangaza hadharani msimamo wake wa kikanuni ambao una mambo matatu:

Kwanza, Ufilipino imeendelea kuiweka manowari yake katika Kisiwa cha Ren'ai Jiao kwa miongo kadhaa inayoendelea, kitendo hiki kimekuwa kikikiuka mamlaka ya China na "Azimio la Vitendo vya Pande husika katika Bahari ya Kusini (DOC)", haswa Kifungu cha 5 cha "Pande zote za Bahari ya Kusini zinapaswa kujiepusha na vitendo vya kukaa kwenye kisiwa kisicho na wakazi".

"Tunaendelea kuitaka kwamba Ufilipino iondoe manowari yake na kurejesha hali ya Ren'ai Jiao ya kutopokea watu na vifaa", amesema.

Pili, kuanzia sasa hadi manowari yake kuvutwa kutoka eneo husika, kama Ufilipino inahitaji kupeleka mahitaji ya lazima kwa watu walioko kwenye manowari hiyo, na Ufilipino ikiiarifu China kabla ya wakati na kuhakikisha hali ilivyo halisi, China ingependa kuruhusu hilo kwa moyo wa ubinadamu. Amesema, China itafuatilia mchakato mzima wa ugavi wa mahitaji hayo.

Tatu, kama Ufilipino itapeleka kiasi kikubwa cha vifaa vya ujenzi kwenye manowari hiyo na kujaribu kujenga miundombinu ya kudumu au kituo cha kudumu, kabisa China haitakubali na itavizuia kithabiti kwa mujibu wa sheria na kanuni za kutetea mamlaka ya China na “Azimio la Vitendo vya Pande Husika za Bahari ya Kusini”.

Msemaji huyo amesema kwenye msingi huo wa kikanuni uliotajwa hapo juu, hivi karibuni China ilikuwa na mfululizo wa mashauriano na Ufilipino juu ya kudhibiti hali ya Ren'ai Jiao na kufikia mpango wa muda na Ufilipino juu ya ugavi wa ubinadamu wa mahitaji muhimu ya maisha. Amesema, pande hizo mbili zimekubaliana kwa pamoja kudhibiti tofauti katika masuala ya bahari na kufanya juhudi za kupunguza hali ya wasiwasi katika Bahari ya Kusini.?

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>