久热sm精品视频,亚洲性爱无码免费视频,av无码观看网站重口,久热国产vs视频在线观看

Xi Jinping atoa ufafanuzi kuhusu azimio la Kamati Kuu ya CPC la kuendeleza zaidi mageuzi kwa kina

(CRI Online) Julai 22, 2024

Rais Xi Jinping wa China, ambaye pia ni katibu mkuu wa kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ametoa maelezo kuhusu azimio la Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) la kuendeleza zaidi mageuzi kwa kina ili kuhimiza ujenzi wa mambo ya kisasa kwa umaalumu wa China.

Xi amesema, azimio hilo limetolewa kwa lengo la kutimiza kimsingi mambo ya kisasa kwa umaalumu wa China ifikapo mwaka 2035, likiweka mipango kuhusu hatua kuu za mageuzi zitakazotekelezwa katika miaka mitano ijayo.

Amesema azimio hilo linazingatia jukumu la kuongoza la mageuzi ya muundo wa kiuchumi, ujenzi wa utaratibu unaosaidia uvumbuzi kwa pande zote, mageuzi ya kina, kufungamanisha maendeleo na usalama, na kuimarisha uongozi wa Chama katika mchakato wa mageuzi.

Pia amesema anatumaini kuwa wajumbe wote wataelewa kwa kina moyo wa Kamati Kuu ya CPC, kufanya majadiliano juu ya mada hiyo na kutoa maoni na mapendekezo ya kiujenzi, ili kurekebisha vizuri rasimu ya azimio hilo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha

<sup id="ggg8g"><ul id="ggg8g"></ul></sup>
<noscript id="ggg8g"></noscript>
  • <nav id="ggg8g"><code id="ggg8g"></code></nav>
  • <sup id="ggg8g"><delect id="ggg8g"></delect></sup>
  • <small id="ggg8g"><menu id="ggg8g"></menu></small>