Lugha Nyingine
Bunge la Ulaya laidhinisha muhula wa pili wa von der Leyen kuwa mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Ursula von der Leyen (Katikati) akitoa hotuba kwenye makao makuu ya Bunge la Ulaya huko Strasbourg, Ufaransa, Julai 18, 2024. (Xinhua/Zhao Dingzhe) |
STRASBOURG - Bunge la Ulaya limeidhinisha ombi la Ursula von der Leyen wa Ujerumani siku ya Alhamisi kwa ajili ya muhula wake wa pili wa miaka mitano kuwa Rais wa Kamisheni ya Ulaya ambapo kiongozi hiyo amepata kura 401 kwenye bunge hilo lenye jumla ya wabunge 720, na kuzidi idadi ya wingi wa kura inayohitajika kudumisha nafasi yake.
Kwenye uchaguzi huo wa kura ya siri, wabunge 284 wa bunge hilo wamepiga kura ya hapana.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma