Lugha Nyingine
Kazi mpya ya taaluma yaibuka wakati tasnia ya Magari ya Kujiendesha bila dereva ikizidi kuendelea (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 16, 2024
Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa, Li Cheng akionekana pichani wakati wa jaribio la barabarani huko Wuhan, Mkoa wa Hubei wa China, Julai 4, 2024. (Xinhua/Wu Zhizun) |
Kutokana na maendeleo ya mambo ya umeme, mitandao, mageuzi ya teknolojia za kisasa, pamoja na maendeleo ya teknolojia ya vyombo kujiendesha vyenyewe bila dereva, magari ya kujiendesha yenyewe bila dereva hatua kwa hatua yanakuwa uhalisia wa kawaida. Kadri tasnia hiyo inavyozidi kuendelea, wanataaluma wengi zaidi wanakuwa wajaribishaji wa magari hayo ya kujiendesha yenyewe bila dereva. Kazi ya taaluma ya "Mjaribishaji wa magari ya teknolojia za kisasa yaliyounganishwa na mtandao" imeorodheshwa kuwa moja kati ya kazi rasmi 19 mpya na Wizara ya Rasilimali Watu na Hifadhi ya Jamii ya China mapema mwaka huu.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma